Office

Fungasha la Huduma 3 ya Office Language Interface Pack 2007 (KB2526307)

Badili Lugha:
Fungasha la Huduma 3 hutoa usasishi wa hivi karibuni kwa Microsoft Office Language Interface Pack 2007.
 • Maelezo

  Toleo:
  Tarehe Iliyochapishwa:

  1

  10/25/2011

  Jina la Jalada:
  Saizi ya Jalada:

  officelip2007sp3-kb2526307-fullfile-sw-ke.exe

  13.4 MB

  Nakala za Msingi wa Taarifa za Huduma (KB): KB2526307
 • Mahitaji ya Mfumo

  Mifumo ya Uendeshaji Inayokubaliwa:

  Windows 7, Windows Server 2003, Windows Vista, Windows XP


   • Usasishi huu unatumika katika bidhaa ifuatayo:
    • Toleo la biti-32 la Microsoft Office Interface Pack 2007

   • Toleo la Kisakinishi Auniwa cha Windows:Kisakinishi 3.1 cha Windows au zaidi

 • Maagizo

   Kumbuka : Ni lazima wataalamu wa IT warejelee sehemu ya rasilimali za kitaalamu za IT.

   Maelezo ya usakinishi
   Kama una toleo la biti-31 la Microsoft Office Language Interface Pack 2007, fanya moja wapo ya yafuatayo:

   • Sakinisha Fungasha la Huduma 3ya Office Language Interface Pack 2007 (KB2526307). Kufanya hivi, fuata hatua hizi:
    1. Pakua faili ya .exe kwa kubofya kwa kitufe cha Pakua kulichoko juu ya ukurasa, halafu uhifadhi faili kwenye kiendeshi chako cha diski kuu.
    2. Inapendekezwa kuwa uondoke kwenye programu yoyote ambayo unaiendesha.

    3. Katika Windows Explorer, bofya-mara mbili faili ya .exe uliyohifadhi kwenye kiendeshi chako cha diski kuu, na ufuate maelezo kwenye skrini.


   Rasilimali za kitaalamu za IT
   Wataalamu wa IT wanaofanya kazi katika mazingira yaliyodhibitiwawanaweza wakapata rasilimali kamili kwa kueneza usasishi wa Office katika shirika kwenye Mfumo wa Seti ya vyumba vya Office na Kituo cha Kiufundi cha Programu.

   Upakuzi wa usasishi huu unapatikana kwa kubofya kwenye kitufe cha Pakua button at the top of the page. kilichoko juu ya ukurasa. Unaweza ukabofya-mara mbili kwenye fungasha la kubana ili uanze usakinishaji, au utoe faili za kiraka (M S P files) kwa kutumia mstari wa amri. Mstari wa amri na maelezo yamejumishwa kwenye makala ya Msingi wa Elimu Mstari wa amri unabadilisha kwa fungasha za Kuondolewa-Binafsi za Microsoft (KB912203).

   Angalia Makala ya Msingi wa Elimu ya Microsoft Maelezo ya Fungasha la Huduma 3 ya Office Language Interface Pack 2007 (KB2526307)kwa maelezo zaidi kuhusu usasishi huu.

Vipakuaji Maarufu

Visasisho vya kompyuta bila malipo

 • Mipachiko ya usalama
 • Visasisho vya programu
 • Furushi za huduma
 • Viendeshi vya maunzi
Endesha Microsoft Update
funga
moreinfo