Windows

  Kiolesura Fungasha Kiswahili cha Windows® XP

  Badili Lugha:
  Kiolesura Fungasha cha Windows XP Professional na Windows XP Home Edition kinatoa utumiaji wa ukuruba kiole fungasha kwa masoko ya lugha yanayoanza ama yale madogo.
  • Toleo:

   -

   Jina la Jalada:

   LIPSetup.msi

   Tarehe Iliyochapishwa:

   3/3/2006

   Saizi ya Jalada:

   5.7 MB

    Kiolesura Fungasha Kiswahili cha familia ya Windows XP kinatoa Kiolesura Kiswahili cha Mtumiaji kwa watumiaji wengi wa Kiolesura cha Windows XP. Kiolesura Fungusha Kiswahili kitahitaji uhakikisha wa Microsoft Windows wakati wa kusanidiwa. Uhakikishi unakuhakikishia kuwa kuwa unatumia nakili ya Windows halali iliyopewa kibali. Tafadhali soma maelezo halali kuhusu programu za ngamizi kutoka Microsoft ili kujifunza zaidi kuhusu faida ya kutumia maelezo halali ya programu za ngamizi za Windows.
  • Mifumo ya Uendeshaji Inayokubaliwa:

   Windows XP

    • Mfumo wa Uendeleshaji uliotegemezwa: 32-bit Toleo la Kiingereza la Windows XP with Service Pack 2 (SP2)
    • 5 MB nafasi wazi (kwa kupakuliwa)
    • 15 Mb nafasi wazi (kwa usanidi)
    1. Bofya Kupakua kilicho mkono wa juu kulia kitufe wa ukurasa huu ili kuanza upakuaji, au teua lugha nyingine kutoka kwa orodha kunjua na ubofye Enda.
    2. Fanya moja kati ya yafuatayo:
     • Ili kuanza usanidi mara moja, bofya Open (Fungua) au Run this program from its current location (Dabiri programu hii kutoka kwa mahali ilipo sasa).
     • Ili kunakili jalada kwenye ngamizi yako kwa usanidi baadaye, bofya Save (Akibisha) au Save this program to disk (Akibisha programu hii kwa diski).

  Vipakuaji Maarufu

  Loading your results, please wait...

  Visasisho vya kompyuta bila malipo

  • Mipachiko ya usalama
  • Visasisho vya programu
  • Furushi za huduma
  • Viendeshi vya maunzi