Office

  Ofisi 2003 Huduma Bumba 2 ya Lugha Kusano Bumba

  Badili Lugha:
  Ofisi 2003 Huduma Bumba 2 kwa Lugha Kusano Bumba inapeana Sasisha za kisasa kwa Microsoft Ofisi 2003 Lugha Kusano Bumba.
  • Note:There are multiple files available for this download.Once you click on the "Download" button, you will be prompted to select the files you need.
   Toleo:

   -

   Jina la Jalada:

   LIP2003SP2-KB887617-Client-SWA.exe

   LIP2003SP2-KB887617-FullFile-SWA.exe

   Tarehe Iliyochapishwa:

   12/13/2005

   Saizi ya Jalada:

   964 KB

   5.7 MB

   Nakala za Msingi wa Taarifa za Huduma (KB): KB887617

    Ofisi 2003 Huduma Bumba 2 (HB2) kwa Lugha Kusano Bumba inahakikisha kuwa Ofisi 2003 tenda kwa ukamilifu unapo tumia Lugha Kusano Bumba

    Huduma bumba hii pia inahusisha sasisha zote zilizo tolewa mbeleni za Ofisi 2003 Lugha Kusano Bumba (Catalan, NyNorsk na Serbian Cyrillic pekee):


    Ofisi 2003 HB2 ya LKB itajisakinisha kwa usitawi hata kama Huduma Bumba imesha jisakinisha katika Computa yako. Unaweza kupata habari zaidi juu ya sasisha hii katika Utaalamu Kitako kifungu (887617): Elezo za Ofisi 2003 Huduma Bumba 2 kwa lugha kusano bumba.

    Muhimu Kwa utenzi kikamilifu wa Ofisi 2003 HB2 kama unatumia Ofisi 2003 Lugha Kusano Bumba, Itakubidi usakinishe Pakua hii naOfisi Kingereza 2003 Huduma Bumba 2.
  • Mifumo ya Uendeshaji Inayokubaliwa:

   Windows 2000 Service Pack 3, Windows Server 2003, Windows XP


    Hi sasisha inahusu programu zifuatazo:
    • Microsoft® Ofisi 2003 Lugha Kusano Bumba


   • Dondo: Watawala wanafaa warejelee Rasilimali za Mtawala Baadhi

    Maelezo ya usakinishaji
    Kusakinisha sasisha hii, fuata hizi hatua:
    1. Pakua moja kati ya hizi faili mbili za .exe kwa kutumia viungo vilivyo chini ya ukurasa, halafu hifadhi katika diski kuu yako.
     • LIP2003SP2-kb887617-client-SWK.exe: Inafaa upakue hii faili kama unayo fikio kwa asilia kivyao Diski ROM yako. Yaweza kubidi upeane asili ya usakinishaji katika usanikishaji wa kipaku ikiwa mbeleni umesasisha kivyao yako.
     • LIP2003SP2-kb887617-fullfile-SWK.exe: Pakua hii faili ikiwa hauna fikio kwa asilia kivyao Diski ROM yako au kama ume pata shida kusanikisha LIP2003HB2-kb887617-client-SWK.exe.
    2. Imependelewa kwamba uage programu zote unazo ziendesha.

    3. Katika Dirisha ya Uvumbuzi (Windows Explorer), bofyabofya hile faili ya .exe uliyohifadhi katika diski kuu yako na ufuate maelezo yaliyoko kwenye skrini.


    Maelezo ya matumizi:

    Baada ya kusakinisha hii sasisha, tumia Ofisi kwa kawaida unavyoitumia.


    Kutoa Pakua hii:

    Hakuna hulka ya kutoa usakinishaji wa Pakua hii. Kwa habari maarifa zaidi, tazama Microsoft Utaalamu Kitako kifungu (873125): Hauwezi kutoa huduma bumba 2 ya kivyao za Ofisi 2003..


    Rasilimali za Mtawala
    Watawala wanaofanya kazi katika makazi yaliyosimamiwa wanaweza kupata rasilimali kamilifu zinazohitajika katika huduma za kusasisha Ofisi katika kampuni kwenye Moyo wa Usakinishaji Ofisi Utawala Tovuti. Kwenye gombo kaya ya tovuti hiyo, angalia chini ya Hila za sasisha Kwa toleo ya kivyao unayo isakinisha.

    Pakio za sasisha hii ziko chini. Unapo bofyabofya furushi tekelezi, usakinishaji una anza. Kuzidua faili za kipaku (faili za MSP), ni lazima utumie mstari amri. Mstari amri na maelezo yamewekwa kwenye Utaalamu Kitako kifungu (197147): Mstari-amri wa fido za Usasisha wa Programu Haraka furushi.

    Tazama Utaalamu Kitako kifungu (887617): Elezo za Ofisi 2003 Huduma Bumba 2 kwa lugha kusano bumba. Kwa maelezo zaidi juu ya sasisha hii.

  Vipakuaji Maarufu

  Loading your results, please wait...

  Visasisho vya kompyuta bila malipo

  • Mipachiko ya usalama
  • Visasisho vya programu
  • Furushi za huduma
  • Viendeshi vya maunzi