Internet Explorer

Windows Internet Explorer 9 ya Windows Vista na Windows Server 2008

Badili Lugha:
Windows Internet Explorer 9 huwezesha tovuti zako kung'aa na kufanya kazi kama programu tumizi asili kwenye kompyuta yako.
 • Maelezo

  Toleo:
  Tarehe Iliyochapishwa:

  9.0.7930.16406

  5/25/2011

  Jina la Jalada:
  Saizi ya Jalada:

  IE9-WindowsVista-x86-swk.exe

  17.9 MB

  Nakala za Msingi wa Taarifa za Huduma (KB): KB982861
   Windows Internet Explorer 9 huwasilisha tovuti na programu tumizi ambazo hufanana na kutendakazi kama programu tumizi asili ya kompyuta kupitia uwezo wa Windows.
   • Yenye kasi: Internet Explorer 9 ina kasi kwa kila kitu. Imeundwa ili kutumia viilivyo maunzi ya kompyuta yako kupitia Windows, Internet Explorer 9 huwasilisha uzoefu mkubwa wenye michoro tondoti ambao una kasi na unaitikia kama programu tumizi asili iliyosakinishwa kwenye kompyuta yako.
   • Safi: Internet Explorer hulenga tovuti unazopenda na mwonekano msafi na eneo lililoongezwa la mtazamo ambao hufanya tovuti zako kung'aa. Ujumuishaji wenye ujuzi na na usioonekana na Windows 7 hutoa ufikiaji wa mmbofyo mmoja kwa Programu tumizi za Wavuti zilizowekwa moja kwa moja kwenye Mwambaa kazi wako.
   • Inayoaminika: Internet Explorer ndiyo njia inayoaminika ya Wavuti kwa sababu ina seti dhabiti ya usalama uliojengewa ndani, teknolojia za siri na zinazoweza kutegemewa ambazo hukuweka wewe salama pamoja na uzoefu wako wa kuvinjari bila kutatizwa.
   • Uwezo wa kubadilisha na kutumia maelezo: Auni ya HTML5 na viwango vya kisasa vya Wavuti vilivyoundwa ili kunufaika kutokana na GPU humaanisha kwamba kiwango hicho sawia hakifanyikazi kwenye Wavuti tu, bali huendeshwa kwa kasi zaidi na huwasilisha uzoefu wa utondoti kupitia Windows na Internet Explorer 9.
 • Mahitaji ya Mfumo

  Mifumo ya Uendeshaji Inayokubaliwa:

  Windows Vista Service Pack 2

    • Furushi Hudumizi 2 la Windows Vista
    • Furushi Hudumizi 2 la Windows Server 2008
   • Kompyuta/ Kichakato:Kompyuta yenye kichakato cha 233MHz au zaidi (kichakato cha Pentium kinapendekezwa)
   • Kumbukumbu: MB 512
   • Nafasi ya Kiendeshi Kikuu:
    • Windows Vista yenye Furushi Hudumizi 2: MB 70
    • Windows Server 2008 yenye Furushi Hudumizi 2: MB 150
   • Uonyesho: VGA Barabara (800 x 600) au monita yenye mwonekano wa juu zaidi wenye rangi 256.
   • Vifaa vya ziada: Modemu au muunganisho wa tovuti; Kipanya cha Microsoft, KipanyaMaizi cha Microsoft, au kifaa kinachotangamana cha kuelekeza.
 • Maagizo

   1. Bofya kitufe cha Pakua kwenye ukurasa wetu ili kuanzisha upakuzi.
   2. Fanya moja kati ya yafuatayo:
    • Ili kuanza usakinishaji mara moja, bofya Fungua au Endesha programu hii kutoka kwa mahali pake pa sasa.
    • Ili kunakili upakuaji kwenye kompyuta yako kwa usakinishaji wakati mwingine, bofya Hifadhi au Hifadhi programu hii kwenye diski.
 • Habari ya Ziada

 • Nyenzo Zinazohusiana

Vipakuaji Maarufu

Visasisho vya kompyuta bila malipo

 • Mipachiko ya usalama
 • Visasisho vya programu
 • Furushi za huduma
 • Viendeshi vya maunzi
Endesha Microsoft Update
funga
moreinfo