Office

  Kipeto cha Kiolesura cha Kiswahili cha Office 2003

  Badili Lugha:
  Kipeto hiki cha Kiolesura cha Kiswahili cha Microsoft Office 2003 kinatoa Kiolesura cha Mtumiaji kwa programu nyingi za Microsoft Office 2003.
  • Note:There are multiple files available for this download.Once you click on the "Download" button, you will be prompted to select the files you need.
   Toleo:

   1

   Jina la Jalada:

   LIP.EXE

   Kiswahili_GS.EXE

   Tarehe Iliyochapishwa:

   11/21/2006

   Saizi ya Jalada:

   6.1 MB

   261 KB

    Kipeto hiki cha Kiolesura cha Kiswahili cha Office 2003 kinatoa tafsiri ya Kiolesura cha Mtumiaji kwa programu zifuatazo za Office 2003:

    • Microsoft Office Word 2003

    • Microsoft Office Outlook® 2003

    • Microsoft Office PowerPoint® 2003

    • Microsoft Office Excel 2003
  • Mifumo ya Uendeshaji Inayokubaliwa:

   Windows XP Service Pack 2

    • Programu inayohitajika: Toleo la Kiingereza (Marekani) la nui yoyote ya Office 2003 – kwa mfano Nui ya Kitaaluma ya Microsoft Office 2003 au Nui ya Kawaida ya Microsoft Office 2003 — au Toleo la Kiingereza (Marekani) la programu binafsi ya Office 2003 inayoauni Office 2003 ya Kipeto cha Kiolesura cha Kiswahili — Excel 2003, Outlook 2003, PowerPoint 2003, au Word 2003.

     Office 2003 ya Kipeto cha Kiolesura cha Kiswahili inaweza pia kusanidiwa kwa Microsoft Office 2003 ya Kipeto cha Kiolesura cha Mtumiaji wa Lugha Nyingi kwa auni ya Kiingereza (Marekani).


    • Ofisi 2003 HB3 inapatikana sasa na inaweza kupakuliwa kutoka hapa http://www.microsoft.com/downloads/details.aspx?FamilyId=27F0C05C-4466-4114-BD5C-E7B782D6198A&displaylang=sw

    • Mahitaji ya Nafasi ya Diski: Mbali ya nafasi kwenye diski kuu inayotumiwa na programu za Office 2003 zilizosanidiwa kwa sasa, megabaiti (MB) 10 za nafasi ya diski kuu zinahitajika.
   • Kusanidi Pakua hii:
    1. Pakua jalada la LIP.exe kwa kubofya kitufe Pakua (juu) na kuakibisha jalada kwenye diski kuu yako.
    2. Bofya maradufu jalada programu LIP.exe Kwenye diski kuu yako kuanzisha programu Muundo.
    3. Fuata maelekezo kwenye kiwamba kukamilisha usanidi.

    Maelekezo kwa utumizi:

    Kufungua Kiolesura cha Mtumiaji kwenye lugha ya Kipeto cha Kiolesura cha Kiswahili cha Office 2003, fuata hatua hizi zifuatazo:

    1. Kwenye menyu ya Anza Elekeza kielekezi kwenye Programu Zote, kisha elekeza kwenye Microsoft Office, elekeza kwenye Zana za Microsoft Office, na kisha bofya Mipangizo ya Lugha ya Microsoft Office 2003.
    2. Kwenye kichupo cha Kiolesura cha Mtumiaji na Saidia katika Angazisha Office 2003 katika orodha, teua lugha unayotaka kuangazisha.
    3. Bofya Sawa.


    Mipangizo ya lugha unayoteua itafanya kazi mara nyingine utakapoanzisha programu za Office.


    Kuondoa Pakua hii:
    1. Toka kwenye programu zote.
    2. Kwenye menyu ya Anza elekeza kielekezi kwenye Mipangizo kisha Paneli Dhibiti.
    3. Bofya maradufu Ongeza/Ondoka Programu.
    4. Katika orodha ya programu zilizosanidiwa hadi sas, bofya Kipeto cha Kiolesura cha Kiswahili ya Microsoft Office 2003, kisha bofya Ondoa or Ongeza/Ondoa. Kama kisanduku ongezi kinatokea, fuata maelekezo ya kuondoa programu.
    5. Bofya Ndiyo au Sawa Kuthibitisha kuwa unataka kuondoa programu

  Vipakuaji Maarufu

  Loading your results, please wait...

  Visasisho vya kompyuta bila malipo

  • Mipachiko ya usalama
  • Visasisho vya programu
  • Furushi za huduma
  • Viendeshi vya maunzi