Office

  Zana za Uhakiki za Microsoft Office 2013 - Swahili

  Badili Lugha:
  Zana za Uhakiki za Microsoft Office zinawezesha kuhariri katika lugha za ziada.
  • Note:There are multiple files available for this download.Once you click on the "Download" button, you will be prompted to select the files you need.
   Toleo:

   2013

   Jina la Jalada:

   proofingtools_sw-ke-x86.exe

   proofingtools_sw-ke-x64.exe

   Tarehe Iliyochapishwa:

   10/15/2014

   Saizi ya Jalada:

   1,023 KB

   1.1 MB

    Je, unataka kukagua tahajia ya lugha ambayo haikusakinishwa kiotomatiki na Office? Umefika. Zana za Uhakiki za Microsoft Office zinajumuisha seti kamili ya zana za uthibitishaji zinazopatikana za Office katika lugha hii. Sakinisha na uanzishe upya tu Office, na zana za uthibitishaji za lugha yako ziko tayari kutumika.
  • Mifumo ya Uendeshaji Inayokubaliwa:

   Windows 7, Windows 8, Windows Server 2008 R2

    Kipakuzi hiki kinafanya kazi kwa programu zifuatazo:
    Microsoft Office Excel 2013
    Microsoft Office OneNote 2013
    Microsoft Office Outlook 2013
    Microsoft Office PowerPoint 2013
    Microsoft Office Word 2013
   • Ili kusakinisha kipakuzi hiki:
    Sakinisha zana za uthibitishaji:


    1. Pakua faili kwa kubofya kwenye kitufe cha Kupakua (hapo juu) na kuhifadhi faili kwenye diski yako kuu.
    2. Endesha programu ya usanidi.
    3. Kwenye ukurasa wa Kusoma Sheria za Leseni ya Programu ya Microsoft, kagua sheria, chagua kisanduku cha kuteua cha "Bofya hapa ili ukubali Sheria za Leseni ya Programu ya Microsoft", na kisha ubofye Endelea.
    4. Kisogora cha usanidi kinaendesha na kusakinisha zana za uthibitishaji.
    5. Baada ya kukamilika kwa usakinishaji, anzisha upya programu zako wazi za Office.


    Maagizo ya matumizi: Tumia tu zana za uthibitishaji kama unavyoweza kutumia - sasa unastahili kuziona kwa lugha yako mpya iliyosakinishwa. Kwa mfano, unaweza kuweka lugha yako ya uthibitishaji katika lugha mpya ili kutumia kikagua tahajia (iwapo kinapatikana) - kujifunza jinsi ya kufanya hivyo, angalia Badili kati ya lugha tofauti kwa kuweka lugha ya uthibitishaji

    Ili kuondoa kipakuzi hiki:
    1. Kwenye menyu ya Kuanza, onyesha kwenye Mipangilio na kisha ubofye Paneli Kidhibiti.
    2. Bofya mara mbili kwenye Ongeza/Ondoa programu.
    3. Katika orodha ya programu zilizosakinishwa sasa, teua Zana za Uhakiki za Microsoft Office 2013 - [Swahili] na kisha ubofye Sakinusha, Ondoa, au Ongeza/Ondoa. Iwapo kisanduku kidadisi kitaonekana, fuata maagizo ili uondoe programu.
    4. Bofya Ndiyo au Sawa ili kuthibitisha kuwa unataka kuondoa programu.


  Vipakuaji Maarufu

  Loading your results, please wait...

  Visasisho vya kompyuta bila malipo

  • Mipachiko ya usalama
  • Visasisho vya programu
  • Furushi za huduma
  • Viendeshi vya maunzi