Office

  Microsoft Office Language Interface Pack 2007 – Kiswahili

  Badili Lugha:
  Microsoft Office Language Interface Pack 2007 – Kiswahili inakupa kiolesura cha mtumiaji kwa Kiswahili kwa ajili ya programu nyingi za Microsoft Office 2007.
  • Note:There are multiple files available for this download.Once you click on the "Download" button, you will be prompted to select the files you need.
   Toleo:

   1

   Jina la Jalada:

   LanguageInterfacePack.exe

   LIP_Help.chm

   Microsoft_Office_Excel.pptx

   Microsoft_Office_Outlook.pptx

   Microsoft_Office_PowerPoint.pptx

   Microsoft_Office_Word.pptx

   Tarehe Iliyochapishwa:

   12/1/2009

   Saizi ya Jalada:

   14.5 MB

   226 KB

   1.4 MB

   2.9 MB

   2.7 MB

   1.8 MB

    Microsoft Office Language Interface Pack 2007 – Kiswahili inakupa kiolesura cha mtumiaji kwa Kiswahili kwa ajili ya:
    • Microsoft Office Excel 2007

    • Microsoft Office Outlook 2007

    • Microsoft Office PowerPoint 2007

    • Microsoft Office Word 2007
  • Mifumo ya Uendeshaji Inayokubaliwa:

   Windows Vista Service Pack 2, Windows XP Service Pack 3

    • Zanatepe inahitajika: Toleo la Kiingereza-Marekani la Microsoft Office 2007 suites yoyote yenye Excel, Outlook, Powerpoint au Word.
    • Mahitaji ya nafasi diski: Kwa kuongezea nafasi ya diski kuu inayotumiwa na programu za Office 2007 zilizosanidiwa hivi punde, megabaiti 20 (MB) za nafasi ya diski kuu zinahitajika.
   • Ili kusanidi hii pakua:
    1. Pakua LanguageInterfacePack.exe Weka kwenye jalada kwa kubofya Pakua kitufe (hapo juu) na kuakibisha jalada katika diski kuu yako.
    2. Bofya-maradufu LanguageInterfacePack.exe programu jalada katika diski kuu yako ili kuanza programu ya kusanidi.
    3. Fuata maagizo kwenye skirini ili kukamilisha usanidi.
    4. Pindi tu jalada la nisome linaposanidiwa kwenye Microsoft Office 2007 Language Interface Pack yako, inaweza kupatikana kwenye C:\ Majalada ya Programu \ Majalada ya Kawaida \ Microsoft gawizwa \ OFFICE 12\ LCID\ LIPread.htm
    5. Usombezaji wa Office 2003 pamoja na Office 2003 Language Interface Pack kwenye Office 2007 pamoja na Office 2007 Language Interface Pack hauauniwi. Iwapo ungependa kusombeza usanidi msingi wako wa Office 2003 hadi kwenye Office 2007 Language Interface Pack unapaswa:
     • Sanidua Office 2003 Language Interface Pack
     • Endesha muundo wa Office 2007 na uchague chaguo la kusombeza.
     • Wakati muundo wa Office 2007 utakamilika, sanidi na usabidi Office 2007 Language Interface Pack

     • Inawezesha bidhaa yako ya Office:
     • Iwapo una shida kusoma msimbo mzima wa usanidi kwenye ongezi "Kigagula Uamilisho wa Microsoft Office", au msimbo usanidi mzima hauangazishi sahihi unapotuma Microsoft® Office Language Interface Pack 2007 yako, tafadhali katisha kigagula na ugeuze hadi katika (Kiswahili) kwa bidhaa yako kuamilisha bidhaa yako ya Microsoft Office.


    Maelezo ya kutumia:

    Ili kugeuza Kiolesura chako cha Mtumiaji hadi kwenye lugha ya Microsoft Office Language Interface Pack 2007 – Kiswahili, fuata hatua hizi:

    1. Zindua Mipangizo ya Lugha ya Microsoft Office 2007 kutoka Anza\Programu Zote\Microsoft Office\Zana za Microsoft Office menyu.
    2. Teua Lugha Angazishe kichupo na kwenye Angazisha menyu na vikashaongezi vya Microsoft Office katika: orodha kunjuzi, teua lugha unayotaka kuangazisha. Lugha ulioteua inafaa kuwa ndiyo angazishe kaida.
    3. katika Lugha Angazishe chupo una chaguo la kuwa na angazishe Office kulandana na angazishe Windows yako. Lugha yako ya Windows ya hivi punde itaorodheshwa kwa sababu yako. Ukitaka kuwa na angazishe Office kulandana na angazishe windows yako teua Seti lugha angazishe ya Microsoft Office ili kulandana na lugha angazishe za Windows tia alama kwenye kikasha. Mpangizo huu unapendana na uteuzi uliyofanya katika Angazisha menyu na vikashaongezi vya Microsoft Office Orodha.
    4. katika Kuhariri Lugha teua kwa kichupo lugha unayohitaji ili kuwezesha kutoka kwenye Lugha Haririwa Zilizopo Orodha na bofya Ongeza. Lugha uliyoteua inafaa kuorodheshwa katika Lugha Haririwa Zilizowezeshwa orodha.
    5. Katika Lugha Haririwa teua kwa kichupo lugha unayohitaji iwe Lugha Haririwa Msingi yako kutoka katika Lugha Haririwa Msingi orodha.
    6. Bofya katika SAWA kitufe.

    Mipangizo ya lugha uliyoteua itaanza kazi wakati ujao utakapowasha programu zako za Office.
    Fahamu: Saidia haiwezi kugeuzwa hadi katika lugha ya Microsoft Office Language Interface Pack 2007- Kiswahili. Saidia siku zote itabaki kuwa lugha yako ya usanidi asilia.
    Siku zote seti saidia angazishe yako katika orodha kunjuzi na lugha msingi.

    Kuondoa upakuzi huu:
     Fuata hatua hizi katika Windows XP Home au Professional Edition:
    1. Aga programu zote.
    2. Bofya-mara mbili Ongeza au Ondoa Programu ikoni kwenye Paneli Dhibiti Windows.
    3. Bofya Microsoft Office Language Interface Pack 2007 katika Programu zilizo sanidiwa kufikia hivi punde kikasha, kisha ubofye Ondoa kitufe.
    4. Fuata maagizo kwenye kiwamba.

     Fuata hatua hizi kwenye Windows Vista:
    1. Aga programu zote.
    2. Bofya-mara mbili Programu na Nduni ikoni kwenye Windows Paneli Kidhiti.
    3. Katika Sanidua au Badili Programu chaguo, bofya Microsoft Office Language Interface Pack 2007 – Kiswahili katika Programu zilizosanidiwa kufikia hivi punde kikasha, kisha uteue Sanidua chaguo.
    4. Fuata maagizo kwenye kiwamba.

  Vipakuaji Maarufu

  Loading your results, please wait...

  Visasisho vya kompyuta bila malipo

  • Mipachiko ya usalama
  • Visasisho vya programu
  • Furushi za huduma
  • Viendeshi vya maunzi