Office

  Lugha ya Kidokezo cha Kiwamba cha Microsoft Office

  Badili Lugha:
  Tumia tafsiri za Kidokezo cha Kiwamba ili kuonyesha matini ya elementi angazishe – kama vile vitufe, menyu na vikasha ongezi – kwa lugha nyingine.
  • Note:There are multiple files available for this download.Once you click on the "Download" button, you will be prompted to select the files you need.
   Toleo:

   1.0

   Jina la Jalada:

   screentiplanguage_sw-ke_32bit.exe

   screentiplanguage_sw-ke_64bit.exe

   Tarehe Iliyochapishwa:

   2/27/2013

   Saizi ya Jalada:

   1.5 MB

   1.5 MB

    Badilisha lugha ya Kidokezo cha Kiwamba ili kuonyesha tafsiri za elementi angazishe- kama vile vitufe, menyu na vikasha ongezi - kwa lugha nyingine na huwasaidia watumiaji kuabiri programu tumizi za Microsoft Office zilizosanidiwa kwa lugha ambayo hawaelewi.


    Baadhi ya mifano ya utumiaji ni:
    • Msaada wa lugha mbili na lugha nyingi
    • Saidia Wahandisi inaweza kuongeza auni kwa lugha ambazo hawaelewi
    • Watumiaji ambao hutumia Office kwa muda kwa lugha ya kigeni au kwa muda wa kipindi kifupi (Watumiaji wanaoranda)
    • Utumiaji wa lugha gawize ya PC
  • Mifumo ya Uendeshaji Inayokubaliwa:

   Windows 7, Windows 8 Release Preview

    • Programu tumizi za Microsoft Office Zinazoauniwa:
      Microsoft Office Word 2013, Microsoft Office Excel 2013, Microsoft Office Outlook 2013, Microsoft Office PowerPoint 2013, Microsoft Office OneNote 2013, Microsoft Office Visio 2013, Microsoft Office Publisher 2013
    • Zanatepe inayohitajika:
      Lugha za Asia Mashariki na Hati Changamani huenda zikahitaji majalada auni kusakinishwa. Hii inaweza kufanyika kupitia Paneli Dhibiti katika 'Chaguo za Kimaeneo na Lugha'.
   • Kusanidi upakuaji huu:
    1. Bofya kitufe cha Pakua kwenye ukurasa huu ili kuanza.
    2. Fanya moja kati ya zifuatazo:
     • Kuanza usanidi moja kwa moja, bofya Endesha.
     • Kuhifadhi upakuzi kwenye ngamizi yako ili kusanidiwa wakati mwingine, bofya Akibisha.
     • Kukatisha usanidi, bofya Katisha.

    Kuzima au kubadilisha Lugha ya Kidokezo cha Kiwamba:
    1. Bofya kwenye kitufe cha Jalada la Office, teua Chaguo, teua Lugha na seti Lugha ya‘Kidokezo cha Kiwamba ili ‘Kuoana na Lugha ya Kiwamba'.

    Kuondoa upakuaji huu:
    1. Kutoka kwa menyu ya Anzisha, nenda kwa Paneli Dhibiti.
    2. Bofya mara mbili Ongeza/Ondoa Programu.
    3. Kwenye orodha ya programu zilizosanidiwa hivi karibuni, chaguaLugha ya Kidokezo cha Kiwamba cha Microsoft Office, na kisha bofya Ondoa auOngeza/Ondoa. Kama kikasha ongezi kitatokea, fuata maagizo ili kuondoa programu.
    4. Bofya Ndiyo au Sawa ili kuthibitisha ya kwamba unataka kuondoa programu.

  Vipakuaji Maarufu

  Loading your results, please wait...

  Visasisho vya kompyuta bila malipo

  • Mipachiko ya usalama
  • Visasisho vya programu
  • Furushi za huduma
  • Viendeshi vya maunzi