Windows

  Kipeto Lugha cha Kiolesura cha Windows 8 (LIP)

  Badili Lugha:
  Kipeto Lugha cha Kiolesura cha Windows 8 (LIP) hutoa toleo lililofasiriwa nusu la Kiolesura cha Mtumiaji cha maeneo yanayotumika sana ya Windows 8.
  • Note:There are multiple files available for this download.Once you click on the "Download" button, you will be prompted to select the files you need.
   Toleo:

   1.0

   Jina la Jalada:

   LIP_sw-KE-32bit.mlc

   LIP_sw-KE-64bit.mlc

   Tarehe Iliyochapishwa:

   12/3/2012

   Saizi ya Jalada:

   2.6 MB

   3.7 MB

    Kipeto Lugha hiki Kiolesura cha Windows (LIP) hutoa toleo lililofasiriwa nusu la maeneo yanayotumika sana ya Windows. Baada ya kusanidi LIP, matini katika vigagula, vikasha ongezi, menyu, na mada za Msaada na auni zitaangazishwa katika lugha ya LIP. Matini ambayo hayajatafsiriwa yatakuwa katika lugha msingi ya Windows 8. Kwa mfano, kama ulinunua toleo la Kihispania la Windows 8, na ukasanidi LIP ya Kikatalani, matini mengine yatabaki katika Kihispania. Unaweza kusanidi zaidi ya LIP moja kwa lugha moja msingi. LIPs za Windows zinaweza kusanidiwa kwa matoleo yote ya Windows 8.
  • Mifumo ya Uendeshaji Inayokubaliwa:

   Windows 8

    • Kwa Mahitaji ya Mfumo, bofya hapa

    • Kwa Maagizo ya Usakinishaji wa Mapema, bofya hapa

    1. Bofya kitufe cha Upakuaji kwenye ukurasa huu ili kuanza kupakua, au chagua lugha tofauti kutoka kwa orodha kunjuzi.
    2. Fanya moja ya yafuatayo:
     • Kuanza usakinishaji mara moja, bofya Endesha.
     • Kuhifadhi upakuaji kwenye kompyuta yako kwa usakinishaji wa baadaye, bofya Hifadhi
    • Kwa Maagizo ya Baada ya Usakinishaji, bofya hapa

    • Kwa Masuala Yanayojulikana, bofya hapa

  Vipakuaji Maarufu

  Loading your results, please wait...

  Visasisho vya kompyuta bila malipo

  • Mipachiko ya usalama
  • Visasisho vya programu
  • Furushi za huduma
  • Viendeshi vya maunzi