Internet Explorer

  Internet Explorer 10 ya Wataalamu na Wasanidi programu wa IT wa Windows 7 Toleo la biti 64 na Seva ya Windows 2008 R2 Toleo la biti 64

  Badili Lugha:
  Internet Explorer 10 ni cha kasi na cha giligili, na hufanya tovuti zako kung’aa na kufanya kazi kama tu programu-tumizi za kawaida kwenye PC yako.
  • Toleo:

   10.0.9200.16521

   Jina la Jalada:

   IE10-Windows6.1-x64-sw-ke.exe

   Tarehe Iliyochapishwa:

   2/25/2013

   Saizi ya Jalada:

   43.2 MB

   Nakala za Msingi wa Taarifa za Huduma (KB): KB2718695

    Internet Explorer 10. Kasi na giligili ya Windows 7.
  • Mifumo ya Uendeshaji Inayokubaliwa:

   Windows 7 Service Pack 1

    • Kompyuta/Kichakato: Kompyuta iliyo na kichakato cha 233MHz au juu(kichakato cha Pentium kimependekezwa)
    • Kumbukumbu: 512MB
    • Nafasi ya Kiendeshi Kikuu70MB
    • Uonesho: VGA yenye nguvu (800 x 600) au monita yenye mwonyesho wa juu na rangi 256.
    • Vifaa: Modemu au muunganisho wa Mtandao; Kipanya cha Microsoft, Kipanya cha Microsoft Intelli, au kifaa tangamanifu cha kuonyesha.
    1. Bofya Upakuaji kitufe kwenye ukurasa huu ili kuanzisha upakuaji
    2. Fanya mojawapo ya yafuatayo:
     • Ili kuanzisha usakinishaji mara moja, bofya Fungua au Endesha program hii kutoka mahali pake pa sasa.
     • Ili kunakili upakuaji hadi kwenye kompyuta yako ili kusanikisha baadaye, bofya Hifadhi au Hifadhi program hii kwenye diski

  Vipakuaji Maarufu

  Loading your results, please wait...

  Visasisho vya kompyuta bila malipo

  • Mipachiko ya usalama
  • Visasisho vya programu
  • Furushi za huduma
  • Viendeshi vya maunzi