Internet Explorer

  Internet Explorer 11 (32-Bit)

  Badili Lugha:
  Internet Explorer 11 hufanya wavuti iwe ya haraka sana kwenye Windows 7. Sasa ikiwa na chaguo msingi za Bing na MSN.
  • Toleo:

   11.0.0.1

   Jina la Jalada:

   EIE11_SW-KE_MCM_WIN7.EXE

   Tarehe Iliyochapishwa:

   6/6/2014

   Saizi ya Jalada:

   31.3 MB

    Haraka zaidi. Salama zaidi. Internet Explorer 11 hufanya wavuti iwe ya haraka sana kwenye Windows 7. Sasa ikiwa na chaguo msingi za Bing na MSN kwa uzoefu uliboreshwa wa wavuti.
    • Haraka: Inapakia tovuti haraka na rahisi unapokuwa ukizipitia.
    • Rahisi: Rahisi na Windows, inafanya kazi jinsi unavyotaka.
    • Salama zaidi: Ulinzi salama dhidi ya vitisho na faragha mtandaoni.
    • Ukurasa wa nyumbani: Fahamu kinachoendelea na habari, michezo, na burudani mpya kwa kutumia MSN kama ukurasa wako wa nyumbani.
    • Tafuta kwa kutumia Bing & Pata zawadi: Sasa pata zawadi za kadi na zaidi kwa kutafuta kwa kutumia Bing kutoka kwenye ukurasa wako wa nyumbani wa MSN.

    Wavuti iliyoundwa upya
    Chunguza tovuti mpya za ajabu zilizoundwa kwa kushirikiana na Internet Explorer. Kwanzia Mlima Everest hadi ulimwengu wa Contre Jour, ona umaridadi wa wavuti katika Internet Explorer.
    Angalkia tovuti

    Usikose
    Fanya Internet Explorer kivinjari chako msingi. Vinjari wavuti kwa kutumia kivinjari chenye kasi, laini na nzuri kugusa.
    Jifunze jinsi ya kufanya hivyo
  • Mifumo ya Uendeshaji Inayokubaliwa:

   Windows 7 Service Pack 1

    • Kompyuta/ Kichakataji: Kompyuta yenye kichakataji cha 233MHz au juu zaidi (kichakataji cha Pentium kinapendekezwa)
    • Kumbukumbu: MB 512
    • Nafasi ya Kiendeshi Kikuu:MB 70
    • Onyesho: Kiwamba cha VGA Kuu (800 x 600) chenye mwonekano wa juu na rangi 256.
    • Vifaa vya nyongeza: Modemu au muunganisho wa Intaneti; Kipanya cha Microsoft, Kipanya Mainzi cha Microsoft, au kifaa cha kuekeleza kinachotangamana.
   • Kusakinisha Internet Explorer 11, bofya Pakua, na ufuate maagizo kwenye skrini yako.

  Vipakuaji Maarufu

  Loading your results, please wait...

  Visasisho vya kompyuta bila malipo

  • Mipachiko ya usalama
  • Visasisho vya programu
  • Furushi za huduma
  • Viendeshi vya maunzi