Lugha ya Kidokezo cha Kiwamba cha Microsoft Office
Tumia tafsiri za Kidokezo cha Kiwamba ili kuonyesha matini ya elementi angazishe – kama vile vitufe, menyu na vikasha ongezi – kwa lugha nyingine.
Muhimu! Kuchagua lugha hapa chini kutabadilisha maudhui kamili ya ukurasa kuwa lugha hiyo.
Toleo:
1.0
Tarehe Iliyochapishwa:
27/2/2013
Jina la Faili:
screentiplanguage_sw-ke_32bit.exe
screentiplanguage_sw-ke_64bit.exe
Ukubwa wa Faili:
1.5 MB
1.5 MB
Badilisha lugha ya Kidokezo cha Kiwamba ili kuonyesha tafsiri za elementi angazishe- kama vile vitufe, menyu na vikasha ongezi - kwa lugha nyingine na huwasaidia watumiaji kuabiri programu tumizi za Microsoft Office zilizosanidiwa kwa lugha ambayo hawaelewi.
Baadhi ya mifano ya utumiaji ni:- Msaada wa lugha mbili na lugha nyingi
- Saidia Wahandisi inaweza kuongeza auni kwa lugha ambazo hawaelewi
- Watumiaji ambao hutumia Office kwa muda kwa lugha ya kigeni au kwa muda wa kipindi kifupi (Watumiaji wanaoranda)
- Utumiaji wa lugha gawize ya PC
Mifumo ya Uendeshaji Inayotumika
Windows 7, Windows 8 Release Preview
- Programu tumizi za Microsoft Office Zinazoauniwa:
- Microsoft Office Word 2013, Microsoft Office Excel 2013, Microsoft Office Outlook 2013, Microsoft Office PowerPoint 2013, Microsoft Office OneNote 2013, Microsoft Office Visio 2013, Microsoft Office Publisher 2013
- Zanatepe inayohitajika:
- Lugha za Asia Mashariki na Hati Changamani huenda zikahitaji majalada auni kusakinishwa. Hii inaweza kufanyika kupitia Paneli Dhibiti katika 'Chaguo za Kimaeneo na Lugha'.
- Kusanidi upakuaji huu:
- Bofya kitufe cha Pakua kwenye ukurasa huu ili kuanza.
- Fanya moja kati ya zifuatazo:
- Kuanza usanidi moja kwa moja, bofya Endesha.
- Kuhifadhi upakuzi kwenye ngamizi yako ili kusanidiwa wakati mwingine, bofya Akibisha.
- Kukatisha usanidi, bofya Katisha.
Kuzima au kubadilisha Lugha ya Kidokezo cha Kiwamba:- Bofya kwenye kitufe cha Jalada la Office, teua Chaguo, teua Lugha na seti Lugha ya‘Kidokezo cha Kiwamba ili ‘Kuoana na Lugha ya Kiwamba'.
Kuondoa upakuaji huu:- Kutoka kwa menyu ya Anzisha, nenda kwa Paneli Dhibiti.
- Bofya mara mbili Ongeza/Ondoa Programu.
- Kwenye orodha ya programu zilizosanidiwa hivi karibuni, chaguaLugha ya Kidokezo cha Kiwamba cha Microsoft Office, na kisha bofya Ondoa auOngeza/Ondoa. Kama kikasha ongezi kitatokea, fuata maagizo ili kuondoa programu.
- Bofya Ndiyo au Sawa ili kuthibitisha ya kwamba unataka kuondoa programu.