Office

  Microsoft® Office Language Interface Pack 2013 – Swahili

  Badili Lugha:
  Microsoft Office Language Interface Pack 2013 - Swahili inatoa User Interface iliyotafsiriwa ya programu nyingi za Microsoft Office 2013.
  • Note:There are multiple files available for this download.Once you click on the "Download" button, you will be prompted to select the files you need.
   Toleo:

   2013

   Jina la Jalada:

   languageinterfacepack-x86-sw-ke.exe

   languageinterfacepack-x64-sw-ke.exe

   Tarehe Iliyochapishwa:

   2/25/2013

   Saizi ya Jalada:

   12.8 MB

   12.9 MB

    Microsoft Office Language Interface Pack 2013 - Swahili inatoa User Interface iliyotafsiriwa kwa programu zifuatazo za Microsoft Office 2013:

   • Microsoft Excel® 2013

   • Microsoft OneNote® 2013

   • Microsoft Outlook® 2013

   • Microsoft PowerPoint® 2013

   • Microsoft Word® 2013


   • Kwa kutumia Microsoft Office Language Interface Pack 2013 - Swahili, watumiaji wanaweza kufanya kazi kwenye matoleo asili ya lugha yaliyosakinishwa ya programu za Office na kuona amri na machaguo ya programu hizo kwenye - Swahili.

    Wakati wa usakinishaji wa Microsoft Office Language Interface Pack 2013, faili ambazo zinawezesha watumiaji ili kubadilisha lugha ya kiolesura cha mtumiaji zinanakiliwa kwenye diski kuu. Baada ya usakinishaji, uwezekano na machaguo yanayolinga ya Microsoft Office Language Interface Pack 2013 - Swahili yanapatikana katika programu za Office 2013 na programu ya mipangilio ya Microsoft Office 2013 Language.
  • Mifumo ya Uendeshaji Inayokubaliwa:

   Windows 7, Windows 8

     Microsoft Windows 7 - 32 au 64 bit OS
     Microsoft Windows 8 - 32 au 64 bit OS
     Kumbuka: Tafadhali mhakikisha kusakinisha Furushi za sasa za Huduma kwa Mfumo wako wa Uendeshaji ili kuhakikisha msaada kamilifu wa lugha yako.

    Zanamango Toleo lolote la chumba cha Office 2013 au programu ya kipekee iliyo na Microsoft Excel, Microsoft OneNote, Microsoft Outlook, Microsoft PowerPoint au Microsoft Word or will support the Microsoft Office Language Interface Pack 2013 - Swahili. Kumbuka: Tafadhali hakikisha kusakinisha Microsoft Office Service Packs za sasa za bidhaa zako za Microsoft Office. Hii itahakikisha uzoefu bora wa mtumiaji.

    Kompyuta na Kichakataji 1 Kichakataji cha GHz kilicho na utegemezi wa SSE2 au juu zaidi; 2 GB RAM au juu zaidi

    Nafasi ya diski Pamoja na nafasi ya diski kuu iliyotumika kwa programu zilizosakinishwa za Office 2013,
   • 3 GB ya nafasi inayopatikana ya diski kuu.

   • Mahitaji mengine yote ya mfumo ni sawa na yale ya programu za Office 2013 ambazo unatumia kwa Microsoft Office Language Interface Pack 2013 - Swahili.


   • Windows Language Interface Pack Imependekezwa kusakinisha Windows 7 ya sasa au Windows 8 Language Interface Packs kwa utegemezi kamili wa lugha kwa Mfumo wako wa Uendeshaji na programu za zanamango.

    Chunguza mipangilio ya Msongo wa tangazo la DPI Fonti nyingi zimeundwa ili kusoma kikamilifu kwa msongo wa 1366 x 768. Iwapo una ugumu wa kusoma fonti ya lugha yako tafadhali sasisha mipangilio yako ya uonyeshaji hadi kwenye msongo huu au zaiikihitajika. Tafadhali kumbuka: tunapendekeza utumie programu za Office 2013 katika mpangilio wa DPI chaguo-msingi ya Windows - 96 DPI. Kwa kutumia mpangilio wa 120 DPI kunaweza kusababisha uzoefu mbaya wa mtumiaji wa Office katika baadhi ya programu za Office kwa kuongeza ukubwa wa mazungumzo ya Office.

    Machaguo ya Kieneo na Lugha Kwa kuongezea imependekezwa kuwa zote Machaguo ya Kieneo na Lugha kwenye Paneli Kidhibiti yamewekwa kwenye lugha ya Microsoft Office Language Interface Pack 2013 - Swahili.

   • Ili kusakinisha upakuaji huu:
    1. Pakua faili ya LanguageInterfacePack.exe kwa kubofya Kichupo cha Upakuaji (hapo juu) na kuhifadhi faili kwenye diski yako kuu.
    2. Bofya mara mbili faili ya programu ya LanguageInterfacePack.exe kwenye diski yako kuu ili kuanza Usanidi wa programu.
    3. Fuata maagizo kwenye skrini ili kukamilisha usakinishaji.
    4. Pindi tu umesakinisha faili ya readme ya Microsoft Office 2013 Language Interface Furushi linaweza kupatikana katika C:\Program Files\Common Files\microsoft shared\OFFICE15\1089\LIPread.htm.
    5. Uboreshaji wa Office 2010 kwa Office 2010 Language Interface Pack au badala ya toleo katika Office 2013kwa Office 2013 Language Interface Pack hautegemezwi. Iwapo ungependa kuboresha usakinishaji wako msingi wa Office 2010 hadi Office 2013 kwa Office 2013 Language Interface Pack unafaa:
     • Kusakinusha Office 2010 Language Interface Pack.
     • Endesha usanidi wa Office 2013 na uchague chaguo la uboreshaji.
     • Wakati usanidi wa Office 2013 umekanilika, sakinisha na usanidi Office 2013 Language Interface Pack.    Kuamilisha bidhaa yako ya Office:
    Iwapo unakumbana na matatizo katika kusoma Msimbo mzima wa usakinishaji kwenye kidadisi cha "Kisogora cha Uamilisho wa Microsoft Office", au msimbo mzima wa usakinishaji hauonyeshi kwa usahihi unapotumia Microsoft Office Language Interface Pack 2013 yako, tafadhali sitisha kisogora na ubadili hadi kwenye bidhaa yako ya lugha msingi ili kuamilisha bidhaa yako ya Microsoft Office.

    Maagizo ya matumizi:
    Ili kubalidi User Interface yako hadi kwenye lugha ya Microsoft Office Language Interface Pack 2013 – Swahili, fuata hatua hizi:

    1. Zindua Mapendeleo ya Microsoft Office 2013 Language kutoka Anza\Programu Zote\Microsoft Office\Microsoft Office Tools menyu.
    2. Chini ya Chagua Lugha za Kuonyesha na Msaada, chini ya Lugha ya Kuonyesha teua lugha inayohitajika na ubofye kwenye kichupo cha Weka kama Chaguo-msingi.
    3. Chini ya Chagua Lugha za Uhariri, chagua lugha inayohitajika na ubofye kwenye Weka kama kichupo chaguo-msingi.
    4. Bofya kichupo cha Sawa.


    Mipangilio ya lugha ambayo umeteua itatekelezwa wakati mwingine utakapoanzisha programu zako za Office.
    Kumbuka: Msaada hauwezi kubadilishwa hadi kwenye lugha ya Microsoft Office Language Interface Pack 2013 – Swahili. Msaada kila mara utasalia kwenye lugha ya usakinishaji wako asili.
    Kila mara weka msaada wako wa uonyeshaji kwenye orodha kunjuzi kwenye lugha msingi.

    Ili kuondoa upakuaji huu:
   • Funga programu zote za Microsoft Office.
   • Bofya mara mbili ikoni ya Programu na Vipengele kwenye Paneli Kidhibiti ya Windows.
   • Kwenye chaguo la Sakinusha au Badilisha Programu, bofya Microsoft Office Language Interface Pack 2013 – Swahili kwenye kisanduku cha programu zilizosakinishwa hivi sasa kisha teua chaguo la Sakinusha.
   • Fuata maagizo kwenye skrini.

  Vipakuaji Maarufu

  Loading your results, please wait...

  Visasisho vya kompyuta bila malipo

  • Mipachiko ya usalama
  • Visasisho vya programu
  • Furushi za huduma
  • Viendeshi vya maunzi