Bila malipoHutoa ununuzi wa programu ya ndani
+ Hutoa ununuzi wa programu ya ndani
Bila malipo+
Mahitaji ya Mfumo

Ufafanuzi

Angalia muundo na hali mpya ya Microsoft Solitaire Collection kwenye Windows 10! Solitaire unasalia kuwa mchezo wa kompyuta unaochezwa sana wakati wote na kwa sababu nzuri. Mchezo wenye kanuni rahisi na wa kueleweka haraka unarahisisha kuelewa kwa kila mmoja. Solitaire imekuwa sehemu ya Windows kwa zaidi ya miaka 25, na Microsoft Solitaire Collection inaifanya hali bora hadi leo kwa kuwa na michezo mitano tofauti yenye kadi ndani ya mmoja: Klondike Toleo hili ni sanaa isiyo na muda ambayo watu wengi huita tu ""Solitaire."" Jaribu kuondoa kadi zote kwenye jedwali kwa kutumia droo ya kadi moja au tatu, ukitumia alama ya mfumo wa kufunga wa kitamaduni au wa Vegas. Spider Safuwima nane za kadi zinasubiri majaribio yako ya kuziondoa kwa miondoko michache iwezekanavyo. Anza kucheza kwa suti moja hadi uridhike, kisha uone jinsi utakavyoendelea unapotumia suti mbili au hata zote nne katika mchezo. FreeCell Tumia seli nne tofauti kusogeza kadi unapojaribu kuondoa kadi zote kwenye meza. Yenye mkakati zaidi kuliko toleo la Klondike, FreeCell huwatuza wachezaji wanaofikiria miondoko kadhaa mapema. TriPeaks Teua kadi katika mfuatano, juu au chini, ili kupata pointi na kuondoa ubao. Unaweza kuondoa mbao ngapi kabla ya mikataba yako kuisha? Piramidi Oanisha kadi mbili jumla ya 13 ili kuziondoa kwenye ubao. Jaribu kufika juu ya piramidi. Tazama ni mbao ngapi unazoweza kuondoa na alama ya juu unayoweza kupata katika mchezo huu wa kadi wenye uraibu! Mafumbo ya Kila Siku Wachezaji hupokea mafumbo mapya kila siku. Kamilisha Mafumbo ya Kila Siku ya kutosha kwa mwezi ili kupata beji na kushindana na marafiki zako. Star Club Hata mafumbo mengi yaliyopangwa katika mikusanyiko na vifurushi unavyoweza kufungua kwa kupata nyota. Chagua Mandhari Yako Microsoft Solitaire Collection ina mandhari mbalimbali maridadi, kuanzia kwenye urahisi wa ""Classic"" hadi utulivu wa Tangisamaki unaojitokeza mbele yako unapocheza. Unaweza kuunda mandhari maalum kutoka kwenye picha zako binafsi! Xbox Live Integration Ingia ukitumia akaunti yako ya Microsoft ili upate mafanikio, kushindana na marafiki zako kwenye mbao za wanaoongoza, na kufuatilia takwimu zako binafsi za kucheza mchezo. Ukiingia kwa kutumia akaunti ya Microsoft, maendeleo yako yanahifadhiwa katika wingu ili uweze kucheza mchezo kwenye kifaa chochote bila kukosa hata kidogo!

Picha za skrini

Vipengele

  • Tofauti 5 za Solitaire – Klondike, FreeCell, Spider, TriPeaks, na Piramidi!
  • Mafumbo ya Kila Siku ni mafumbo ya kutatulika yaliyohakikishwa ambayo yanaongeza njia mpya za kutumia kila siku!
  • Jaribu Star Club ambapo unaweza kufungua na kucheza mafumbo yako uyapendayo!
  • Tumia Mandhari tofauti kwa mandharinyuma na miundo ya staha ya kadi.
  • Unda mandhari yako maalum kutoka kwenye picha kwenye kompyuta yako!
  • Ingia kwa kutumia akaunti ya Microsoft ili upate mafanikio, bao za wanaoongoza, na maendeleo yako kuhifadhiwa katika wingu!
  • Hucheza hata vizuri zaidi kwenye skrini mguso!

Maelezo ya ziada

Imechapishwa na

Xbox Game Studios

Hakimiliki

© 2021 Microsoft Corporation

Tarehe ya toleo

28/07/2012

Ukubwa uliokadiriwa

MB 61.89

Ukadiriaji wa umri

Ya umri wa miaka 3 na juu

Kategoria

Kadi na ubao

Programu hii inaweza

Fikia muunganisho wako wa mtandao
Fikia mitandao yako ya nyumbani au kazini
Zinajifunga zenyewe pamoja na madirisha yake, nakuchelewesha ufungaji wa programu zake

Usakinishaji

Pata programu hii wakati umeingia kwenye akaunti yako ya Microsoft na usakinishe hadi kwenye vifaa kumi vya Windows 10.

Ufikiaji

Msanidi bidhaa anaamini programu hii inakithi mahitaji ya ufikiaji, huku ikirahisishia kila mtu kutumia.

Lugha inayoauniwa

English (United States)
English (United Kingdom)
Afrikaans (Suid-Afrika)
አማርኛ (ኢትዮጵያ)
العربية (المملكة العربية السعودية)
Azərbaycan Dili (Azərbaycan)
Български (България)
Català (Català)
Čeština (Česká Republika)
Dansk (Danmark)
Deutsch (Deutschland)
Ελληνικά (Ελλάδα)
Español (España, Alfabetización Internacional)
Español (México)
Eesti (Eesti)
Euskara (Euskara)
فارسى (ایران)
Suomi (Suomi)
Filipino (Pilipinas)
Français (France)
Français (Canada)
Galego (Galego)
עברית (ישראל)
हिंदी (भारत)
Hrvatski (Hrvatska)
Magyar (Magyarország)
Indonesia (Indonesia)
Íslenska (Ísland)
Italiano (Italia)
日本語 (日本)
Қазақ Тілі (Қазақстан)
ភាសាខ្មែរ (កម្ពុជា)
ಕನ್ನಡ (ಭಾರತ)
한국어(대한민국)
Lietuvių (Lietuva)
Latviešu (Latvija)
Македонски (Република Македонија)
മലയാളം (ഇന്ത്യ)
Bahasa Melayu (Malaysia)
Norsk Bokmål (Norge)
Nederlands (Nederland)
Polski (Polska)
Português (Brasil)
Português (Portugal)
Română (România)
Русский (Россия)
Slovenčina (Slovensko)
Slovenščina (Slovenija)
Shqip (Shqipëri)
Srpski (Srbija)
Svenska (Sverige)
தமிழ் (இந்தியா)
తెలుగు (భారత దేశం)
ไทย (ไทย)
Türkçe (Türkiye)
Українська (Україна)
Tiếng Việt (Việt Nam)
中文(中国)
中文(香港特別行政區)
中文(台灣)


Masharti ya ziada

Sera ya faragha ya Microsoft Solitaire Collection
Masharti ya muamala
Masharti ya leseni ya Microsoft Solitaire Collection
Microsoft Software License Terms - http://go.microsoft.com/fwlink/?LinkId=529064 Microsoft Services Agreement - http://go.microsoft.com/fwlink/?LinkId=822631

Ripoti bidhaa hii

Ingia ili kuripoti mchezo huu kwenye Microsoft