Bila malipo
Bila malipo
Mahitaji ya Mfumo

Ufafanuzi

Tuma kwa OneNote hukuwezesha "kuchapisha" kutoka kwenye programu yoyote hadi ukurasa wa OneNote. Pindi ipo kwenye OneNote, unaweza kuifikia kutoka kwenye kifaa chochote, hata unapokuwa nje ya mtandao. Fungua faili yoyote au ukurasa wa wavuti, teua chaguo la Kuchapisha, na uchague Tuma kwa OneNote. OneOne hunasa nakala ya faili kiotomatiki kwa hivyo unaweza kuifikia kwenye vifaa vyako vyote. Chapisha faili yoyote kwa OneNote kwa urahisi kana kwamba ulikuwa ukiituma kwenye kichapishi halisi. Rejelea au uelezee kwa urahisi nyaraka zako pindi zinapokuwa kwenye OneNote. • Nyaraka • Lahajedwali • Barua pepe • Michoro • Kurasa za wavuti • Vielelezo Programu hii inahitaji OneNote for Windows 10. Angalia tovuti, tupende kwenye Facebook, tufuate kwenye Twitter, na utembelee blogu yetu kwa habari za hivi punde: onenote.com facebook.com/onenote twitter.com/msonenote blogs.office.com/onenote

Picha za skrini

Maelezo ya ziada

Imechapishwa na

Microsoft Corporation

Hakimiliki

© Microsoft Corporation

Imetengenezwa na

Microsoft Corporation

Tarehe ya toleo

07/04/2017

Ukubwa uliokadiriwa

KB 40

Ukadiriaji wa umri

Ya umri wa miaka 3 na juu

Kategoria

Uzalishaji

Programu hii inaweza

Fikia faili zako zote, vifaa vya vipembezo, programu na masjala
Microsoft.storeFilter.core.notSupported_8wekyb3d8bbwe

Usakinishaji

Pata programu hii wakati umeingia kwenye akaunti yako ya Microsoft na usakinishe hadi kwenye vifaa kumi vya Windows 10.

Ufikiaji

Msanidi bidhaa anaamini programu hii inakithi mahitaji ya ufikiaji, huku ikirahisishia kila mtu kutumia.

Lugha inayoauniwa

Afrikaans (Suid-Afrika)
Shqip (Shqipëri)
አማርኛ (ኢትዮጵያ)
العربية (المملكة العربية السعودية)
Azərbaycan Dili (Azərbaycan)
বাংলা (বাংলাদেশ)
English (United States)
Euskara (Euskara)
Беларуская (Беларусь)
Български (България)
Català (Català)
中文(中国)
中文(台灣)
Hrvatski (Hrvatska)
Čeština (Česká Republika)
Dansk (Danmark)
Nederlands (Nederland)
English (United Kingdom)
Eesti (Eesti)
Suomi (Suomi)
Français (France)
Galego (Galego)
Deutsch (Deutschland)
Ελληνικά (Ελλάδα)
Hausa (Najeriya)
עברית (ישראל)
हिंदी (भारत)
Magyar (Magyarország)
Íslenska (Ísland)
Indonesia (Indonesia)
Italiano (Italia)
日本語 (日本)
ಕನ್ನಡ (ಭಾರತ)
Қазақ Тілі (Қазақстан)
ភាសាខ្មែរ (កម្ពុជា)
Kiswahili (Kenya)
한국어(대한민국)
ລາວ (ລາວ)
Latviešu (Latvija)
Lietuvių (Lietuva)
Македонски (Република Македонија)
Bahasa Melayu (Malaysia)
മലയാളം (ഇന്ത്യ)
Norsk Bokmål (Norge)
فارسى (ایران)
Polski (Polska)
Português (Brasil)
Português (Portugal)
Română (România)
Русский (Россия)
Srpski (Srbija)
Slovenčina (Slovensko)
Slovenščina (Slovenija)
Español (España, Alfabetización Internacional)
Español (México)
Svenska (Sverige)
தமிழ் (இந்தியா)
తెలుగు (భారత దేశం)
ไทย (ไทย)
Türkçe (Türkiye)
Українська (Україна)
O‘Zbek (Oʻzbekiston)
Tiếng Việt (Việt Nam)Ripoti bidhaa hii

Ingia ili kuripoti programu hii kwenye Microsoft