Bila malipo
+ Hutoa ununuzi wa programu ya ndani
Bila malipo
Mahitaji ya Mfumo

Ufafanuzi

Microsoft Word Mobile ni programu bora ya kuhakiki, kuhariri, na kuunda nyaraka kwenye simu na kompyuta kibao za Windows (ikiwa na ukubwa wa skrini ya inchi 10.1 au ndogo). *On January 12, 2021 this app will reach End of Support on phones using Windows 10 Mobile. Learn more at https://aka.ms/OfficeWindows10MobileEOS.* *** Ili kuunda na kuhariri nyaraka kwenye kompyuta za mezani, kompyuta za mkononi, kompyuta kubwa kibao, pamoja na Continuum* ya simu, usajili wa Office 365 unahitajika. Kwa maelezo zaidi, tazama mahitaji yanayofuata. *** SOMA KWA RAHA • Mwonekano mpya wa kusoma unarahisisha kusoma nyaraka ndefu kwenye simu na kompyuta kibao. • Gonga picha ndogo au kompyuta kibao ili uona kila maelezo katika mwonekano wa skrini nzima. • Leta maarifa kutoka kwenye wavuti hadi ndani ya hati zako za Word ukitumia Smart Lookup. HAKIKI NA UHARIRI POPOTE ULIPO • Pata faili zako mahali popote, kutokana na ujumuishaji pamoja na OneDrive, SharePoint, na Dropbox. • Jibu maoni na ufanye mabadiliko ya haraka kwa kugusa kwa kidole. • Usijali kuhusu kuhifadhi. Unapohariri kwenye kompyuta kibao au simu yako, Word huhifadhi kazi yako hivyo huhitaji kuhifadhi. • Shiriki nyaraka zako kwa migongo michache, na uwaalike wengine kuzitazama. • Fanya kazi kama timu na uhariri nyaraka na wengine kwa wakati mmoja. • Pata amri sahihi kwanza. Kipengee cha Niambie hukupeleka kwenye kipengele unachohitaji. UNDA KWA UJASIRI • Tumia simu yako kama PC kuandika na kuhakiki nyaraka kwenye skrini kubwa. • Anzisha miradi yako kwa violezo vilivyoundwa vya kisasa maridadi. • Tumia machaguo ya mpangilio wa uumbizaji unayofahamu kutoa mapendekezo yako. • Umbizo la waraka na mpangilio husalia katika hali asili na kuonekana vizuri—haijalishi kifaa unachotumia. MAHITAJI Toleo hili la Word limejengwa kwa ajili ya simu na kompyuta kibao (zenye ukubwa wa skrini ya inchi 10.1 au ndogo zaidi). Kwenye vifaa hivyo, unaweza kutazama, kuunda, na kuhariri nyaraka za Word bila malipo. Unahitaji usajili unaofaa wa Office 365 ili utumie vipengele mahiri. Jifunze zaidi kwenye www.office.com/information. Kwenye kompyuta kibao, kompyuta za mkononi, na kompyuta kubwa zaidi za mezani, unaweza kutazama nyaraka bila malipo. Usajili unaofaa wa Office 365 unahitajika ili kuunda na kuhariri nyaraka. Office 365 pia hujumuisha matoleo ya hivi punde ya kompyuta za mezani za Word, Excel, PowerPoint, OneNote, na Outlook—inapendekezwa kwa matumizi kwenye komyputa za mezani na kompyuta za mkononi. Unaweza kujisajili kwa Office 365 ndani ya programu, na upate mwezi mmoja bila malipo ukijisaili kwa mara ya kwanza. * Continuum ya simu inapatikana tu kwenye simu maalum za kulipia za Windows 10. Kikorokoro kinachotangamana nainachotumia Continuum Continuum kinahitajika, pamoja na monita ya nje inayoauni ingizo la HDMI.

Picha za skrini

Maelezo ya ziada

Imechapishwa na

Microsoft Corporation

Hakimiliki

© Microsoft Corporation

Tarehe ya toleo

13/08/2014

Ukubwa uliokadiriwa

MB 174.37

Ukadiriaji wa umri

Ya umri wa miaka 3 na juu

Kategoria

Uzalishaji

Programu hii inaweza

Tumia maikrofoni yako
Fikia muunganisho wako wa mtandao
Fikia mitandao yako ya nyumbani au kazini
Tumia waasiliani wako
Tumia maktaba ya nyaraka zako
Tumia hati-tambulishi za kikoa chako cha duka kubwa
enterpriseCloudSSO
Fafanua sera maalum ya kampuni kubwa kwa kifaa chako
previewStore
Tumia vyeti vya programu na maunzi vinavyopatikana kwenye kifaa chako
Sera za utoaji leseni za programu ya ulizo
userSystemId

Usakinishaji

Pata programu hii wakati umeingia kwenye akaunti yako ya Microsoft na usakinishe hadi kwenye vifaa kumi vya Windows 10.

Lugha inayoauniwa

English (United States)
English (United Kingdom)
Afrikaans (Suid-Afrika)
አማርኛ (ኢትዮጵያ)
العربية (المملكة العربية السعودية)
Azərbaycan Dili (Azərbaycan)
Беларуская (Беларусь)
Български (България)
বাংলা (বাংলাদেশ)
Bosanski (Bosna I Hercegovina)
Català (Català)
Čeština (Česká Republika)
Dansk (Danmark)
Deutsch (Deutschland)
Ελληνικά (Ελλάδα)
Español (España, Alfabetización Internacional)
Español (México)
Eesti (Eesti)
Euskara (Euskara)
فارسى (ایران)
Suomi (Suomi)
Filipino (Pilipinas)
Français (Canada)
Français (France)
Galego (Galego)
Hausa (Najeriya)
עברית (ישראל)
हिंदी (भारत)
Hrvatski (Hrvatska)
Magyar (Magyarország)
Indonesia (Indonesia)
Íslenska (Ísland)
Italiano (Italia)
日本語 (日本)
Қазақ Тілі (Қазақстан)
ភាសាខ្មែរ (កម្ពុជា)
ಕನ್ನಡ (ಭಾರತ)
한국어(대한민국)
ລາວ (ລາວ)
Lietuvių (Lietuva)
Latviešu (Latvija)
Македонски (Република Македонија)
മലയാളം (ഇന്ത്യ)
Bahasa Melayu (Malaysia)
Norsk Bokmål (Norge)
Nederlands (Nederland)
Nynorsk (Noreg)
Polski (Polska)
Português (Brasil)
Português (Portugal)
Română (România)
Русский (Россия)
Slovenčina (Slovensko)
Slovenščina (Slovenija)
Shqip (Shqipëri)
Српски (Србија)
Srpski (Srbija)
Svenska (Sverige)
Kiswahili (Kenya)
தமிழ் (இந்தியா)
తెలుగు (భారత దేశం)
ไทย (ไทย)
Türkçe (Türkiye)
Українська (Україна)
O‘Zbek (Oʻzbekiston)
Tiếng Việt (Việt Nam)
中文(中国)
中文(台灣)

Maelezo ya Mchapishaji

tovuti Word Mobile
Auni ya Word Mobile


Ripoti bidhaa hii

Ingia ili kuripoti programu hii kwenye Microsoft