Ina kasi, na ni salama. Internet Explorer 11 ndiyo kivinjari kinachopendekezwa cha Windows 7.
IE11-Windows6.1-x64-sw-ke.exe
Nakala za Msingi wa Taarifa za Huduma (KB): KB2841134
Ina kasi, na ni salama. Internet Explorer 11 ndiyo kivinjari kinachopendekezwa cha Windows 7.
Mifumo ya Uendeshaji Inayokubaliwa:
Windows 7 Service Pack 1; Windows Server 2008 R2 SP1
- Kompyuta/Kichakato : Kompyuta iliyo na kichakato cha 233MHz au juu (Kichakato cha Pentium kimependekezwa).
- Kumbukumbu ya: 512MB
- Nafasi ya Kiendeshi Kikuu:70MB
- Uonyesho: VGA yenye nguvu(800 x 600) au monita ya juu yenye mwonekano wa rangi 256.
- Vifaa: Modemu au muunganisho wa mtandao; Kipanya cha Microsoft, Kipanya cha Microsoft Intelli,au kifaa tangamanifu cha kuonyesha.
- Bofya kitufe cha Pakua kwenye ukurasa huu kuanza upakuaji.
- Fanya mojawapo ya yafuatayo:
- Kuanza kusakinisha mara moja, bofya Fungua au Endesha programu hii kutoka mahali pake pa sasa
- Ili kunakili upakuzi hadi kwenye kompyuta yako kwa kusakinisha wakati mwingine, bofya Hifadhi au Hifadhi programu hii kwenye diski