Trace Id is missing

Kifurushi cha Kikorokoro cha Lugha cha Microsoft® Office – Kiswahili

Kifurushi cha Kifaa cha Lugha cha Microsoft – Kiswahili huongeza zana za kuonyesha kusaidia au kuthibitisha kwa kutegemea lugha unayosakinisha.

Muhimu! Kuchagua lugha hapa chini kutabadilisha maudhui kamili ya ukurasa kuwa lugha hiyo.

Pakua
 • Toleo:

  2016/2019

  Tarehe Iliyochapishwa:

  15/3/2016

  Jina la Faili:

  Office2016_LAP_Readme_sw-ke.docx

  Ukubwa wa Faili:

  22.0 KB

  Kifurushi cha Kifaa cha Lugha cha Microsoft Office – Kiswahili huongeza zana za ziada za kuonyesha, kusaidia au kuthibitisha kwa kutegemea lugha ambayo unasakinisha.
  Baada ya kusakinishwa, uwezo na chaguo sambamba za Kifurushi cha Kifaa cha Lugha cha Microsoft Office – Kiswahili zinapatikana ndani ya programu za Office na programu ya Mapendeleo ya Lugha ya Microsoft Office.
 • Mifumo ya Uendeshaji Inayotumika

  Windows 10, Windows 7, Windows 8

   Ili upate data za hivi punde kuhusu mahitaji ya Mfumo tazama kiungo Mahitaji ya Mfumo ya Office
   Microsoft Windows 8 – 32 au mfumo wa OS wa biti 64
   Microsoft Windows 10 - 32 au mfumo wa OS wa biti 64. (Kwa watumiaji wa Office 2019 wanaonunua mara moja tu, Windows 10 pekee ndiyo OS inayotumika)
   Dokezo:Tafadhali hakikisha umesakinisha Vifurushi vya hivi punde vya Huduma kwenye Mfumo wako wa Uendeshaji ili uhakikishe lugha yako inatumika ipasavyo.

  ProgramuToleo lolote la Office 2016 (au jipya zaidi) kama kifurushi au linalojitegemea ambalo lina programu ya Microsoft Excel, Microsoft Lync, Microsoft OneNote, Microsoft Outlook, Microsoft PowerPoint au Microsoft Word litatumia Kifurushi cha Kifaa cha Lugha cha Microsoft Office 2016 (au toleo jipya zaidi) - Kiswahili.
  Kompyuta na KichakatajiKichakataji chenye uwezo wa 1.6 GHz kinachotumia SSE2 au zaidi; RAM ya GB 4; RAM ya GB 2 (32-bit) au zaidi

  Nafasi kwenye diskiPamoja na nafasi kwenye diski kuu inayotumiwa na programu zilizosakinishwa za Office,
 • GB 4 ya nafasi inayopatikana kwenye diski kuu.

 • Mahitaji mengine ya mfumo ni sawa na yale ya programu za Office ambayo unatumia na Kifurushi cha Kifaa cha Lugha cha Microsoft Office – Kiswahili.


 • Kifurushi cha Kiolesura cha Lugha cha WindowsInapendekezwa kwamba usakinishe Vifurushi vya Kiolesura vya Lugha vya Windows ili lugha yako itumike ipasavyo katika Mfumo wako wa Uendeshaji na programu.

  Fuatilia mipangilio ya Ubainisho na DPIFonti nyingi zimeundwa ili kusoma sawa katika ubainisho wa 1366 x 768. Ikiwa una tatizo katika kusoma fonti ya lugha yako tafadhali sasisha mipangilio ya mwonekano wako ili ufikie ubainisho huu au wa juu zaidi ikiwa utahitajika. Tafadhali kumbuka: tunapendekeza utumie programu za Office zilizo kwenye mpangilio chaguo-msingi wa DPI wa Windows – 96 DPI. Kutumia mpangilio wa 120 DPI kunaweza kupunguza ubora wa matumizi ya baadhi ya programu za Office kwa kuongeza ukubwa wa kidirisha cha Office.

  Chaguo za Eneo na LughaVilevile tunapendekeza kwambaChaguo zote za Eneo na Lughazilizo kwenyePaneli Dhibitiziwekwe kuambatana na Kifurushi cha Kifaa cha Lugha cha Microsoft Office – Kiswahili.

 • Ili usakinishe Kifurushi hiki cha Kikorokoro cha Lugha:
  1. PakuaKifurushi cha Kikorokoro cha LughaFaili ya kusakinishia kwa kubofya kiungoPakua Kisakinishi cha Kifurushi cha Kikorokoro cha Lugha
  2. Ikimaliza Kupakua Chagua Endesha.
  3. Fuata maelekezo kwenye skrini ili ukamilishe usakinishaji.

  Badilisha kiolesura kitumie lugha ya Kifurushi cha Kikorokoro cha lugha
  Baada ya kusakinisha Kifurushi cha Kikorokoro cha Lugha, unaweza kubadilisha lugha ya kiolesura cha mtumiaji (Kiswahili) ndani ya programu za Ofice au kutoka kwenye programu ya Mapendeleo ya Lugha ya Microsoft Office.

  Ili ubadilishe lugha ya kiolesura ya mtumiaji kutoka kwenye Mapendeleo ya Lugha:

  1. AnzishaMapendeleo ya Lugha ya Office.
  2. Kutoka kwenyeChagua orodha ya Lugha za Kuhariri,chagua lugha yako ya kuhariri kisha ubofyeKifutecha Chaguo-msingi.
  3. Kutoka kwenyeChagua orodha za Onyesho na Usaidizi wa Lugha,teuaLugha yako ya OnyeshoKisha ubofyeKifutecha Chaguo-msingi.
  4. BofyaSawacha Chaguo-msingi.

  Ili ubadilishe lugha ya kiolesura ya mtumiaji kutoka kwenye programu ya Office:

  1. Nenda kwenyeFaili, Chaguo,kisha uchagueLugha.
  2. Kutoka kwenyeChagua orodha ya Lugha za Kuhariri,chagua lugha yako ya kuhariri kisha ubofyeKifutecha Chaguo-msingi.
  3. Kutoka kwenyeChagua orodha za Onyesho na Usaidizi wa Lugha,teuaLugha yako ya OnyeshoKisha ubofyeKifutecha Chaguo-msingi.
  4. BofyaSawacha Chaguo-msingi.

  Mipangilio ya lugha mabyo umechagua zitaanza kutumika wakati utakapoanza kutumia programu zako za Office.

  Badilisha lugha ya tahajia
  Kifurushi cha Kifaa cha Lugha cha Microsoft Office – (Kiswahili) huenda kikajumuisha vifaa vya kuthibitishia kwenye lugha yako. Hii hapa ndiyo njia ya kubadilisha lugha ya tahajia kwa ajili ya sehemu ya matini:

  Excel: Excel hutumia mpangilio Msingi wa lugha ya kuhariri ili kubaini lugha chaguo-msingi ya tahajia. Ili ubadilishe hili, bofya Failikisha ubofyeChaguo. BofyaChaguo za kuthibitishiana uchague mojawapo ya lugha zilizopo kutoka kwenyeOrodha yakamusi ya lugha.

  Outlook, PowerPoint, Word na OneNote:Chagua matini unayotaka kukagua tahajia, bofyaHakiki, bofyaLughaKitufe cha Lugha kisha ubofyeWeka chaguo la Lugha yaKuthibitisha. Chagua lugha unayotaka kutoka kwenye kisanduku cha orodha na ubofyeSawa.