Trace Id is missing

Kipeto Lugha cha Kiolesura cha Windows Vista

Kipeto Lugha cha Kiolesura cha Windows Vista (LIP) hutoa toleo lililofasiriwa nusu la Kiolesura cha Mtumiaji cha maeneo yanayotumika sana ya Windows Vista

Muhimu! Kuchagua lugha hapa chini kutabadilisha maudhui kamili ya ukurasa kuwa lugha hiyo.

Pakua
  • Toleo:

    1.0

    Tarehe Iliyochapishwa:

    4/11/2009

    Jina la Faili:

    LIP_sw-KE.mlc

    Ukubwa wa Faili:

    2.5 MB

    Kipeto Lugha cha Kiolesura cha Windows Vista (LIP) cha Windows Vista hutoa toleo lililofasiriwa nusu la maeneo yanayotumika sana ya Windows. Baada ya kusanidi LIP, matini kwenye vigagula, vikasha ongezi, menyu, mada za Saidia na Auni, na vipengee vingine kwenye kiolesura cha mtumiaji huangazishwa katika lugha ya LIP. Matini ambayo hayajafasiriwa yatakuwa katika lugha msingi ya Windows Vista. Kwa mfano, kama ulinunua toleo la Kihispania la Windows Vista, na ukasanidi LIP ya Kikatalani, baadhi ya matini yatabaki katika Kihispania. Unaweza kusanidi zaidi ya LIP moja, kwa hivyo kila mtumiaji wa ngamizi anaweza kuangazisha kiolesura cha mtumiaji katika lugha yake anayetaka.
  • Mifumo ya Uendeshaji Inayotumika

    Windows Vista

    • Microsoft Windows Vista
    • Kiolesura cha mtumiaji katika lugha zinazofuata: Kiingereza
    • Mb 4.63 ya nafasi wazi ya upakuzi
    • Mb 15 ya nafasi wazi ya usanidi

    Jukwaa Zinazoauniwa: LIP hufanya kazi tu na matoleo ya biti-32 za Windows Vista na haziwezi kusanidiwa kwenye matoleo ya awali ya Windows au kwenye matoleo ya biti-64 za Windows Vista.
    1. Bofya kitufe cha Pakua kwenye ukurasa huu ili uanze kupakua, au chagua lugha tofauti toka kwenye orodha kunjuzi na bofya Nenda.
    2. Fanya moja kati ya zifuatazo:
      • Kuanza kusanidi mara moja, bofya Fungua au Endesha programu hii toka mahali pake pa sasa.
      • Kunakili upakuzi kwenye ngamizi yako ili usanidi wakati mwingine, bofya Akibisha au Akibisha programu hii kwenye diski.